Tanzania yapata sare ugenini dhidi ya Uganda

Mechi kati ya timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) na ya Uganda (The Cranes) imemalizika kwa kutoka suluhu.Hakuna timu iliyofanikiwa kuifunga timu pinzani.

Kwa upande wa Timu ya Tanzania imejitahidi kupata pointi moja zaidi ya uganda ambapo wachezaji 8 wanaocheza timu za nje waliingia leo uwanjani kupambana na wachezaji wa Uganda.

Nini maoni yako juu ya muelekeo huu wa timu hizi kipindi hiki?

Leave a Reply

Social media & sharing icons powered by UltimatelySocial