Yanga yaibuka kidedea dhidi ya African Lyon

  • 6 Timu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya African Lyon iliyofanyika leo uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Hadi wanakwenda mapumziko hakuna timu iliyokua imefanikiwa kutikisa nyavu za mwenzie kutokana na upinzani mgumu kwa timu zote mbili.Mnamo dakika ya 54 Yusuph Mhilu alifanikiwa kuipa timu Yake goli la pekee.

Hata hivyo wachambuzi wa soka wanasema kiwango cha uchezaji wa Yanga leo ni wa kawaida si mbaya sana au mzuri sana.Je Una maoni gani kuhusu hilo?

Usisahau kushare link kwa ndugu,jamaa na marafiki pia kutupata ukurasa wetu wa facebook,twitter na instagram

Leave a Reply

Social media & sharing icons powered by UltimatelySocial