Swahili News

Yanga kushuka dimbani Jumapili hii

Siku ya Jumapili tarehe 9 mwezi huu katika uwanja wa Uhuru jioni Dar es salaam,Mechi ya kirafiki inatarajiwa kuchezwa kati ya klabu ya Yanga na African Lyon.

Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa majira ya saa 10 jioni ambapo hiyo itafanyika baada ya kufutwa kwa mechi ya kirafiki iliyotarajiwa kufanyika jana kati ya Singida United Kigoma kwenye uwanja wa lake Tanganyika.

Wakati huo huo Uongozi wa Timu ya Yanga unataraji kufanya mkutano na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya klabu hiyo mida ya saa saba na nusu mchana.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

Simply football news!

There is football and there is the HEAVY DETAILED NEWS on the Sport where we give the news ,reviews ,analysis, statistics and live coverage of all the soccer events in Africa. We are Africa’s number one online soccer community created by true fans.

Subscribe to Sokafrika via email

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Copyright © 2018 Sokafrika.com. All rights reserverd.

To Top
WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com