Uncategorized

Taifa Stars yategemewa ushindi na Mashabiki wake

Mashabiki wa Taifa stars wameonekana leo katika hoteli ya serena nchini Uganda  ambapo timu hiyo imeweka kambi wakicheza wanaonyesha kuwa na moyo na timu yao hiyo ya taifa.

Mechi hiyo inatarajia kufanyika leo saa 10 jioni uwanja wa Nelson Mandela.Hata hivyo kikosi kinachotarajia kuingia mwanzo ni Golikipa Aishi  , Kessy, Morris, Mwantika, Banda – Domayo, Mudathir, Gadiel, Samatta, Msuva pamoja na Ulimwengu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

Simply football news!

There is football and there is the HEAVY DETAILED NEWS on the Sport where we give the news ,reviews ,analysis, statistics and live coverage of all the soccer events in Africa. We are Africa’s number one online soccer community created by true fans.

Copyright © 2018 Sokafrika.com. All rights reserverd.

To Top
WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com