Swahili News

Matokeo Ligi Kuu Leo jana

Mechi mbili za ligi kuu mzunguko wa nne zimechezwa leo na matokeo kua magumu kuonyesha nani mbabe zaidi ya mwezie.

Katika uwanja wa Mwadui Complex mjini Shinyanga mechi kati ya Azam FC na Mwadui FC ilichezwa ambapo matokeo ni bao 1-1.Sure Boy alifanikiwa kuipa timu yake ya Azam FC bao mnamo dakika ya 55 hata hivyo Mwadui Fc walifanikiwa kulirudisha dakika ya 71 na Mchezaji wake Edwin.

Uwanja wa Uhuru nako mechi kati ya African Lyon na Coastal Union imemalizika kwa matokeo ya 0-0 timu hizo zimeshindwa kufungana licha ya kila timu kupata nafasi wazi mara nyingi.Waswahili wanasema labda leo wamekosa bahati.

Nini maoni yako kuhusu hili?
Usikose kutufatilia facebook,tweeter na instagram kwenye akaunti zetu pia usisahau kushare habari na ndugu jamaa na marafiki.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

Simply football news!

There is football and there is the HEAVY DETAILED NEWS on the Sport where we give the news ,reviews ,analysis, statistics and live coverage of all the soccer events in Africa. We are Africa’s number one online soccer community created by true fans.

Subscribe to Sokafrika via email

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.
Loading

Copyright © 2018 Sokafrika.com. All rights reserverd.

To Top
WP2Social Auto Publish Powered By : XYZScripts.com