Swahili News

Mbabane Swallows yapata pigo kuelekea mechi ya Simba

Nahodha wa Swallows Tony Tsabedze

Mabingwa wa ligi kuu ya Kandanda Swaziland Mbabane Swallows wamepata pigo kuu baada ya nahodha wao Tony “TT” Tsabedze kupoteza baba yao jana usiku.

 

Akizungumuza  na gazetti moja nchini humo,afisa habari wa Swallows Jackson amesema “Tuna huzuni kwa kuwa tunaomboleza kifo cha Babe Tsabedze babake nahodha wetu,Mungu amlaze mahala pema peponi”

Nahodha huyo atapoteza mechi ya ligi kuu nchini humo kesho  dhidi ya Malanti Chiefs kwenye uwanja wa Somhlolo ,Mbabane

 

Mbabane Swallows watasafiri kuelekea Tanzania kukutana na Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Simba kwenye mechi ya awamu ya kwanza ligi kuu barani Africa .

 

Mshindi was jumla atamenyana na Mshindi kati ya Nkana ya Zambia na UD Songo ya Msumbiji.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Most Popular

Simply football news!

There is football and there is the HEAVY DETAILED NEWS on the Sport where we give the news ,reviews ,analysis, statistics and live coverage of all the soccer events in Africa. We are Africa’s number one online soccer community created by true fans.

Subscribe to Sokafrika via email

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Copyright © 2018 Sokafrika.com. All rights reserverd.

To Top